/ Urban / KIZAZI DHALIMU
Pas assez d’évaluations
Synopsis
Ni kisa kinachotokea kati ya binti wawili, uhasam wao ulianza wakiwa wachanga unaendelezea na kupaliliwa na Shata, binti kutoka familia tajiri anayepanga maangamizi ya Tumaini ili kumnyakua mumewe, huu ndiyo mwanza wa hadithi Tumaini kujikuta kisiwani pasi kujielewa kwake...ijaribu riwaya hii na utaipenda.
Étiquettes
Vous aimerez aussi
Partagez vos pensées avec les autres
Écrire un avisAuteur john_oduor